Launch of Mr. Tanzania 2017 Press Conference
Viongozi wa chama cha watunisha misuli Tanzania TBBF wakiwa katika uzinduzi wa Nembo ya chama cha TBBF, Nembo ya MR TANZANIA na Tovuti ya kusajilia na kuendesha shindano la MR TANZANIA , MR HANDSOME na MR PHOTOGENIC . Kutoka kushoto ni Mr NEMES ALBERT CHIWALALA (mwenyekiti wa TBBF) akifatiwa na Mr FRANCIS MAPUGILO (katibu mkuu wa TBBF) akifuatiwa na Mr FIKE WILSON (Mhasisi na mshauri wa mambo ya ufundi) na wa mwisho kulia ni Mr NILESH BHATT (Mwenyekiti wa kamati ya MR TANZANIA) Uzinduzi huo ulifanyika siku ya tarehe 5/12/2017 pale Habari Maelezo Dar es salaam. Viongozi wa chama cha