(255) 0753559833

DAR ES SALAAM GYM ZIKIJISAJILI KATIKA MASHINDANO YA MR. TANZANIA

Usajili ukiendelea katika Gym tofauti hapa Dar. Tunawashukuru sana watu wote walioweza kujisajili mpaka sasa na pia gym zote zilizoweza kuwa pamoja na sisi, Tunashukuru pia walioweza kujisajili kupitia website yetu mpaka sasa kwa ajili ya mashindano ya MR.TANZANIA, MR. HANDSOME NA MR. PHOTOGENIC. Amabao watakuwa wanagombania kitita cha shilingi milioni 10 pamoja na gari kwa MR TANZANIA Usajili bado unaendelea na mwisho wa usajili ni tar 30 January 2017, Bado tunaomba watu waweze kujisajili kabla ya mwisho wa usajili, pia washiriki wote walikuwa Dar tunawakumbusha mnaweza kuja jisajili moja kwa moja kwenye ofisi zetu za PILIPILI ENTERTAINMENT ambazo zipo

Read More