(255) 0753559833

TBBF PAMOJA NA MR. TANZANIA 2017 INAPITA MIKOA YOTE TANZANIA ILI KUWEZA KUSAJILI MAHANDSOME NA WATUNISHA MISULI WA KITANZANIA

TBBF PAMOJA NA MR. TANZANIA 2017 INAPITA MIKOA YOTE TANZANIA ILI KUWEZA KUSAJILI MAHANDSOME NA WATUNISHA MISULI WA KITANZANIA   Tumeweza wafikia washiriki wengi sana wanaohusika na MR HANDSOME 2017 tunaweza sema washiriki wamejitokeza kwa wingi na tunawashukuru sana kwa kuweza kujisajili na pia kwa wale ambao bado mpaka leo hawajaweza kujisajili kwenye mashindano yetu haya ya MR HANDSOME pamoja na MR PHOTOGENIC wanaweza kujisajili moja kwa moja kwenye ofisi za PILIPILI ENTERTAINMENT ambazo zipo SINZA MAKABURINI/ MAKAMA STREET PLOT NO.6 BLOCK C kwa wale washiriki ambao wako Dar es salaam, pia kwa wale washiriki ambao wapo nnje ya Dar

Read More

Video ya mafunzo ya kujisajili Mr Tanzania kupitia tovuti

Video hii niyakuonyesha jinsi ya kujisajili MR TANZANIA kwa kutumia wesite/tovuti yetu. Washiriki wengi waliokuwa wanataka kujisajili na mashindano haya ya MR TANZANIA, MR PHOTOGENIC na MR HANDSOME walikuwa wakituuliza kuhusu jinsi ya kujisajili kupitia tovuti yetu, na kwa sasa tumeweza watengenezea video hii kwa ajili ya maelekezo yote ya kujisajili. Ahsanteni sana kwa maoni yenu na tumeweza kuyafanyia kazi. [su_youtube url="https://www.youtube.com/watch?v=JbTvWLL0cLc"] www.tzbbf.org

Read More