::::::::::::: TANGAZO MUHIMU :::::::::::::
ILI KUSHIRIKI SHINDANO HILI MSHIRIKI INATAKIWA UWE UMESAJILIWA KUPITIA KATIKA GYM YAKO UNAYOFANYIA ZOEZI (LAKINI KWA WALE WANAOSHINDANIA TAJI LA MR. HANDSOME NA MR. PHOTOGENIC) WAO WATAJISAJILI MOJA KWA MOJA BILA KUPITIA GYM ZAO, KUJIANDIKISHA KUPITIA KATIKA MAGYM KUTAWAHUSU TU WALE WANAOSHINDANIA TAJI LA MR. TANZANIA BODY BUILDER PEKEE.
SEHEMU LITAKAPOFANYIKA : DAR ES SALAAM – TANZANIA
KWA GYM/ HEALTH CLUB,
ADA YA MWAKA YA USAJILI NI
TSH. 200,000 (KWA WASHIRIKI WAWILI ZAIDI WATAKAOCHAGULIWA ITAKUWA BILA MALIPO)
TSH.100,000 (KWA KILA MSHIRIKI ATAKAENGOZEKA KATIKA KUWAKILISHA GYM)
SAJILI SASA
MR. HANDSOME AND MR. PHOTOGENIC BODY BUILDING TITLE
SEHEMU LITAKAPOFANYIKA : DAR ES SALAAM – TANZANIA
KWA WASHIRIKI BINAFSI ADA YA USAJILI WA MARA MOJA NI
TSH. 50,000 (KWA KILA TAJI)
WASHINDANI WANWEZA KUOMBA KUJIANDIKISHA KWA KUJAZA HATI
YA KUJIANDIKISHA KWA PAMOJA AU KWA KILA KIPENGELE PEKE YAKE
LIPA KUPITIA :
TIGOPESA (255) 0678 393 950
(Reg Name: Mr Nilesh Bhatt)
MPESA (255) 0753 559 833
(Reg name: Mr Chandranikant Asawla)
HUNDI/ TASLIM EQUITY BANK
A/c.Na : 3007211301051
Jina La Akaunt: : TANZANIA BODY BUILDING FEDERATION
VERY IMPORTANT NOTICE :
ONCE THE PAYMENT IS MADE THEN YOU WILL SEND US THE PROOF OF PAYMENT BY
EMAIL : [email protected]
SMS : 0678 393 950 OR 0753 559 833
OR WHATSAPP: 0678 393 950 OR 0753 559 833
UTHIBITISHO WA MALIPO :
- UJUMBE UTAKAO UPOKEA BAADA YA KUTUMA MALIPO KUPITIA TIGOPESA AU MPESA.
- LISITI/ NAKALA YA BENKI INAYOONESHA UMEWEKA PESA BENKI KWA KUTUTUMIA KATIKA BARUA PEPE YETU.
TUNAKUOMBA UTUTUMIE HUU UJUMBE WA UTHIBITISHO WA MALIPO WA TIGOPESA AU MPESA KUPITIA SIMU YAKO HIYOHIYO AU KUPITIA ANUANI YA BARUA PEPE AMBAYO UMEIWEKA WAKATI UKIJAZA FOMU.