[email protected]
(255) 0753559833
Fixing nation with fitness
Go To..
  • Home
  • TBBF
    • History of TBBF
    • Message from the Chairman
    • About the TBBF
    • Our Affiliations
    • Our Discipline
    • Rules
  • Contest
    • Introduction
    • TBBF Calendar
    • Pre-Judging Event
    • Awards
    • Results
  • Registration
    • Registration Guidelines
    • Download Form Kiswahili
    • Download Form English
  • Blog
  • FAQ
  • Gallery
  • Contact Us
  • Language: English
    • Swahili Swahili
    • English English

Launch of Mr. Tanzania 2017 Press Conference

Thursday December 15th, 2016
| 905 Comments

TBBF STAFFViongozi wa chama cha watunisha misuli Tanzania TBBF wakiwa katika uzinduzi wa Nembo ya chama cha TBBF, Nembo ya MR TANZANIA na Tovuti ya kusajilia na kuendesha shindano la MR TANZANIA , MR HANDSOME na MR PHOTOGENIC .

Kutoka kushoto ni Mr NEMES ALBERT CHIWALALA (mwenyekiti wa TBBF) akifatiwa na Mr FRANCIS MAPUGILO (katibu mkuu wa TBBF) akifuatiwa na Mr FIKE WILSON (Mhasisi na mshauri wa mambo ya ufundi) na wa mwisho kulia ni Mr NILESH BHATT (Mwenyekiti wa kamati ya MR TANZANIA)

Uzinduzi huo ulifanyika siku ya tarehe 5/12/2017 pale Habari Maelezo Dar es salaam.

TBBF

Viongozi wa chama cha kutunisha misuli Tanzania TBBF wakiongea na waandishi wa habari, kuwaelezea mataarajio yanayotaka kufanyika na TBBF.

img_8895-renew

Watunisha misuli wakitanzania wakionyesha mfano wa mashindano ya kutunisha misuli inavyofanyika. Mda huu ndio watu walipoanza kuelewa nini TBBF walikuwa wanongelea na kuelekeza, Shamra shamra

Categories: Press Conference
| Tags: Africa, Competition, Dar Es Salaam, Handsome, Logo, Mr. Tanzania, Mr. World, Mr.Photogenic, Online, Press, Price, Registration, Tanzania Body Building Federation, TBBF, www.tzbbf.org

Post navigation

Video ya mafunzo ya kujisajili Mr Tanzania kupitia tovuti →

Category

  • Press Conference
  • TBBF
  • Tutorial

Archives

  • January 2017
  • December 2016
Contact Us
  • Email
    info@tzbbf.org
  • Phone
    (255) 0678 393 950, 0753559833
  • Address
    Plot No.6, Block C
    Makama Street, Sinza Makaburuni,
    Dar Es Salaam,
    Tanzania
© 2019 Tanzania Body Building Federation All Rights Reserved. 
  • Home
  • Introduction
  • Awards
  • Gallery
  • Rules
  • Frequently Asked Questions (FAQ)