(255) 0753559833

TBBF PAMOJA NA MR. TANZANIA 2017 INAPITA MIKOA YOTE TANZANIA ILI KUWEZA KUSAJILI MAHANDSOME NA WATUNISHA MISULI WA KITANZANIA Tumeweza wafikia washiriki wengi sana wanaohusika na MR HANDSOME 2017 tunaweza sema washiriki wamejitokeza kwa wingi na tunawashukuru sana kwa kuweza kujisajili na pia kwa wale ambao bado mpaka leo hawajaweza kujisajili kwenye mashindano yetu haya ya MR HANDSOME pamoja na MR PHOTOGENIC wanaweza kujisajili moja kwa moja kwenye ofisi za PILIPILI ENTERTAINMENT ambazo zipo SINZA MAKABURINI/ MAKAMA STREET PLOT NO.6 BLOCK C kwa wale washiriki ambao wako Dar es salaam, pia kwa wale washiriki ambao wapo nnje ya Dar wanaweza jisajili kupitia tovuti/website yetu na kuweza kujisajili kokote nchini Tanzania www.tzbbf.org Shukrani zetu tunazitanguliza moja kwa moja kwa washiriki wetu kutoka mikoa mbali mbali hapa nchini Tanzania, Kwa kuweza kuwahi kujiunga kwa mda muhafaka na pia kwa kuweza kujisajili kwa kupitia tovuti yetu kwa wale washiriki waliokuwa nnje ya Dar es salaam. Tunawashukuru pia kampuni ya PILIPILI ENTERTAINMENT kwa kuweza kuendesha jambo hili kwa ufasa na kuweza wasajili washiriki wetu wote waliojisajili moja kwa moja katika ofisi hizo za PILIPILI ENTERTAINMENT. Ahsanteni sana CALISA ATAKIWA KUSHIRIKI MASHINDANO YA MR. HANDSOME Kutoka katika Gazeti maharufu sana hapa nchini la tarehe 24 desemba 2016 limedai wadau wametaka Calisa kujiunga katika shindano la kumsaka MR. HANDSOME kwani anaonekana kuwa na kichocheo kikubwa cha mvuto na ndio maana ameweza kukubalika kuwa usingizi wa mwanadada Wema Sepetu

TBBF PAMOJA NA MR. TANZANIA 2017 INAPITA MIKOA YOTE TANZANIA ILI KUWEZA KUSAJILI MAHANDSOME NA WATUNISHA MISULI WA KITANZANIA Tumeweza wafikia washiriki wengi sana wanaohusika na MR HANDSOME 2017 tunaweza sema washiriki wamejitokeza kwa wingi na tunawashukuru sana kwa kuweza kujisajili na pia kwa wale ambao bado mpaka leo hawajaweza kujisajili kwenye mashindano yetu haya ya MR HANDSOME pamoja na MR PHOTOGENIC wanaweza kujisajili moja kwa moja kwenye ofisi za PILIPILI ENTERTAINMENT ambazo zipo SINZA MAKABURINI/ MAKAMA STREET PLOT NO.6 BLOCK C kwa wale washiriki ambao wako Dar es salaam, pia kwa wale washiriki ambao wapo nnje ya Dar wanaweza

Read More

DAR ES SALAAM GYM ZIKIJISAJILI KATIKA MASHINDANO YA MR. TANZANIA

Usajili ukiendelea katika Gym tofauti hapa Dar. Tunawashukuru sana watu wote walioweza kujisajili mpaka sasa na pia gym zote zilizoweza kuwa pamoja na sisi, Tunashukuru pia walioweza kujisajili kupitia website yetu mpaka sasa kwa ajili ya mashindano ya   MR.TANZANIA, MR. HANDSOME NA MR. PHOTOGENIC. Amabao watakuwa wanagombania kitita cha shilingi milioni 10 pamoja na gari kwa MR TANZANIA Usajili bado unaendelea na mwisho wa usajili ni tar 30 January 2017, Bado tunaomba watu waweze kujisajili kabla ya mwisho wa usajili, pia washiriki wote walikuwa Dar tunawakumbusha mnaweza kuja jisajili moja kwa moja kwenye ofisi zetu za PILIPILI ENTERTAINMENT ambazo

Read More