(255) 0753559833

Tukio la mchujo wa awali

AFYA NA UKAKAMAVU

Ni sehemu ya soko la ukuaji wa haraka wa utunishaji wa misuli ulimwenguni

… Lakini muhimu zaidi kusaidia kubadilisha maisha ya watu

Tukio hili linatambua mafanikio ya zawadi binafsi na inaleta mwamko wa kutanuka kwa  uelewa kuhusu kudumisha afya njema kupitia mtindo wa maisha ya ukakamavu.

TAREHE

TUKIO

7/08/2019 Mkutano na wahandishi wa habari ulifanyika katika ofisi za  Pili Pili entertainment (DSM) kutangaza mashindano ya  Mr. Tanzania, Mr. Physique na Miss Fitness kwa mwaka 2019
26/11/2019 Mchujo wa awali  na kambi kwa Mr. Physique na Miss Fitness kwa mwaka 2019.
28/11/2019 Mchujo wa awali na kambi kwa  Mr. Tanzania kwa mwaka 2019
29/11/2019 Hitimisho