DAR ES SALAAM GYM ZIKIJISAJILI KATIKA MASHINDANO YA MR. TANZANIA

5Usajili ukiendelea katika Gym tofauti hapa Dar. Tunawashukuru sana watu wote walioweza kujisajili mpaka sasa na pia gym zote zilizoweza kuwa pamoja na sisi, Tunashukuru pia walioweza kujisajili kupitia website yetu mpaka sasa kwa ajili ya mashindano ya

MR.TANZANIA, MR. HANDSOME NA MR. PHOTOGENIC. Amabao watakuwa wanagombania kitita cha shilingi milioni 10 pamoja na gari kwa MR TANZANIA

Usajili bado unaendelea na mwisho wa usajili ni tar 30 January 2017, Bado tunaomba watu waweze kujisajili kabla ya mwisho wa usajili, pia washiriki wote walikuwa Dar tunawakumbusha mnaweza kuja jisajili moja kwa moja kwenye ofisi zetu za PILIPILI ENTERTAINMENT ambazo zipo sinza makaburini na pia kwa wale washiriki wetu ambao wako mbali bado wanaweza kujisajili kupitia tovuti yetu ambayo ni

3

www.tzbbf.org

Pia kwa wale washiriki ambao watapita kwenye pre judging wataweza kuingia katika reality show yetu ambayo tutairecord, Hii itahusu maisha ya kila mshiriki tokea alipoanza mazoezi mpaka alipofikia, nini alipitia katika maaisha yakena pia nini atachoweza kufanya kama akiweza kuwa MR TANZANIA. Kipindi hicho kitaonyeshwwa katika moja ya channel zetu za kitanzania.

26/02/2017                 1st Day of Pre-Judging round

27/02/2017                 2nd Day of Pre-Judging round